Ulishawahi kutaka ku....
* tawala wakati ujao?
* jaribu mahusiano na hali tofauti?
* rudi nyuma na kubadili mawazo yako?
* pata zile mbinu unazohitaji kutawala maisha yako?
kama ulijibu 'ndio' kwa swali lolote kati ya haya, au unataka tu kucheza mchezo huu poa, unaweza kuanza sasa!
Introducing the first online Swahili game, developed to teach young people about HIV/AIDS decision making -- originally developed by UNICEF, naomba.com is proud to present "UNGEFANYAJE" (scroll down the page)
Play the first Swahili HIV / AIDS game!
0 Comments:
Post a Comment
<< Home