Let's Talk AIDS

Naomba.com tunaongelea UKIMWI
Barani Africa kila dakika mtoto hufa kwa ugonjwa wa ukimwi.Kila sekunde kumi na tano kijana huambukizwa virusi vya ukimwi.Mashariki na kusini mwa bara la Africa ni uwiano wa asilimia kumi na saba tu ndiyo wanaofikiwa na dawa za kurefusha maisha. Naomba.com inayo furaha kubwa sana kuutambulisha mtandao wa kwanza kabisa wa utandawazi kujadili swala la ukimwi katika bara la Africa. Sisi hapa Naomba.com tunawapa habari. Tunawapa elimu, na msaada wa habari kuhusiana na swala la ukimwi/virusi vya ukimwi. Sote tuongelee kinga. Tuongelee ukimwi.

Naomba.com talks AIDS
Every minute a child dies of AIDS. Every fifteen seconds, a young person contracts HIV. Only a fraction of the 17 million people in East and Southern Africa who have HIV/AIDS receive life-saving treatment. Naomba.com is proud to introduce the first online AIDS portal in Africa. We're here to provide you with information, education, support and news about HIV/AIDS. Let's talk protection. Let's talk awareness. Let's talk AIDS.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home